Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

attenention kwa wale wanaofikiri kuflash simu kuna ondoa tatizo,unapo flash baadhi ya simu kunaweza kukuletea tatizo jipya,kuna simu ukiflash lazima kitu cha kwanza ufanye backup ya folder la EFS. iwapo folder hili litafutika kutokana na flashing kunaweza fanya simu isije kuwa na imei,isipige simu etc.

kunasimu zikiflashiwa Baseband inakuna na shida hivyo lain hazitasoma wala kutambulika sehem ya lain na etwork
 
oky sawa nimeelewa andika
*#*#4636#*#*
click Phone infomation > alafu
angalia button imeandikwa 'TURN OFF RADIO' i click
subiria dakika 1 kisha bonyeza 'TURN ON RADIO'
simu itarestart tatizo natumaini litaondoka na utapata network

iwapo haitasaidia nijulishe nikupe njia nyingine
Mkuu naka cmu apa ka Vodafone kanasumbua kutouch lakin hakana cracks hata kidogo kakiamua akatouch somtime kanatouch vizur kabisa
 
Box ya nck itakusaidia sana,
Inatoa zote
Kwana inachip nyingi
mtk
SPD
Qualcom
Mmsi
Na simu nyingi za huawei Pamoja na Samsung
Kumbuka mtk iko Mara mbili kuna mtk kwenye sim za Vodafone Pamoja na sim za huawei
Ukiformat huawei au Vodafone kwenye miracle au volcano
Simu ina kufa
Piga UA galagaza walau uwe na Volcano miracle na Nck itakusaidia .
 
Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo wa ku-flash simu nyingi zaidi...
nunua nck box na miracle box
 
attenention kwa wale wanaofikiri kuflash simu kuna ondoa tatizo,unapo flash baadhi ya simu kunaweza kukuletea tatizo jipya,kuna simu ukiflash lazima kitu cha kwanza ufanye backup ya folder la EFS. iwapo folder hili litafutika kutokana na flashing kunaweza fanya simu isije kuwa na imei,isipige simu etc.

kunasimu zikiflashiwa Baseband inakuna na shida hivyo lain hazitasoma wala kutambulika sehem ya lain na etwork
Solution ni nini mkuu na unafanyaje backup ya hilo folder la EFS? Kipindi cha nyuma yalisha nikuta haya hasa la inviled IMEI moja kati ya slot sim nkaiweka tu kwa droo!
 
Mkuu kama hutojali tupe link basi hapa ya hyo crack ya nck box
Asante!
sory for late reply.. nipe email yako nikufanyie attachement then utaabgalia namna ya kupost hapa kwa niaba ya wengine... nck box android mtk cracked version ina repair imei, read/write flash, unlock network lock, reset frp, reset privacy format user data na operations nyingine nying bt zote hzo ni kwa android mtk only.... inasaidia sana kama una deal na mobile software then huna box.... anayehitaji crack yoyote ni suala la kusema na ntampa for free kabisa.. baadhi ya cracks ni kama z3x samsung tool pro, avenger mtk android, miracle box 2.27 gpg dragon, volcano utility, falcon, spt, octopus, setool,z3x lg tool na nyingne nyingi
 
Kama hutojali mkuu, unaonaje ungeziweka kwenye Dropbox alafu uka share link hapa ili kila mwenye uhitaji aka download
 
Pamoja mkuu tupia vitu hapahapa tu kwa google drive itakua poa na wengne wa enjoy.
 
Back
Top Bottom