Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

wakuu hapa nina huawei imecorrupt kabisaa nikiwasha inaishia kwenye logo nataka niflash rom tatizo haitaki kudetect kwenye pc nimei install drivers zote za mtk na za huawei lakin haitaki kudetect..nisaidien jaman
Unatumia huawei gani
 
Umeweka vcom drivers? Unatumia window gani? Na pia umebonyeza boot key baada ya kuchomeka usb na ukaona simu haionekan kweny sp flash tool?
Nime install hizo driver zote lakin inashindwa kudetect.... Natumia windows 7 64bit
 
Nime install hizo driver zote lakin inashindwa kudetect.... Natumia windows 7 64bit
Ulifanyaje ku connect simu? Jaribu kutoa battery kisha connect usb na press volume up au down au power button ili kujua boot key ...ikigoma rudisha battery kisha chomeka usb na press boot key, mara nying huwa ni volume up kisha wait uone kama itakua connected kweny sp flashtool

Option ya pili tumia update zip na ufanye sd card upgrade ...weka dload folder kweny memory card iliyokua formatted kuanzia 2gb kisha weka kweny simu na press both volume up and down kisha power button...wait had flashing process ianze..njia hii inahitaji build number kua the same na iliyokuepo mwanzo.
 
Ninamshauri aanze Na miracle box baadae ataona kama aongeze lipi
angalia soko lako mkuu, halafu ufanye research. yapo mabox yanaflash mediatek, kuna snapdragon kuna ya samsung etc, kuna mabox yanatoa lock za simu kama huawei mengine hayatoi, mengine yana support nzuri mengine hayana etc

cha muhimu angalia soko na simu gani zinakuja sana hapo halafu ndio ufanye maamuzi.
n
 
emegency only Invalide imei.. Tatizo hili nila baseband na kernel linaweza tokea pale mtu anapofanya upgrading or downgrading without proper device ROm. file required(Moderm.img)
First:
1.troubleshooting Device to know Problem resons(hardware of software).
2.If you dont do upgrade/flashing etc. goto hardware
3.in hardware find Baseband ic,
5.if is software issue you can restore /efs folder of you need two files Kernel patch and moderm in zip package copy to sd card then do update from zip start with kernel and then moderm

solved
 
huwez fanya kazi mwa kutegemea cracks bosi.....hebu tuzungumzie samsung phones with qualcom chipset, snapdragon....nambie ni crack ipi unayoweza kuwrite certificate in samsung?, kwa upande wa exynos nambie crack ipi inaweza kuread certificate?... hzo cracks unazoongelea utaishia kufanya kazi nyingi za mtk na spd na hata hzo mtk latest cpu zitakusumbua... bdo kuna cmu nyingne conbection zake zinahtaj uart cable haya nambie unaconnect vp uart km huna box?.... hebu nambie ulishawah hata kufanya kazi ya kurepair samsung either qualcom au hata exynos?... na unaponambia una crack ya miracle kwa ninavyoijua mim miracle box haina chochote cha ajabu kwenye non chinese phones..
mkuu mbna zx3 crack ina write na ku read certificate vizuri tuu... lakini kubadili imei ndo huwa ina leta error
 
Hao waliopiga maruku hawajui maana ya ku Flash simu Wamepiga Marufuku kubadili imei hata mimi najua nikosa kisheri Duniani kote kubadili imei (Utamu wa ngoma ingia uicheze)
hata unapo badili imei kwa box lazma linakupa warning kuwa changing imei iz not legal
 
[QUOTE=inategemea na eneo ulipo je ni simu gani sana zinazopatikana eneo husika au chukua z3x box
 
Kuflash Simu haiitaji kwa Kiasi kikubwa Kuwa na Boxes
maana almost 70 percent ya simu zina flashika bila kuwa na box
binafs nipo kwenye hii kaz tangu mwaka jana japo tangu nikiwa chuo nilikua naflash simu za wanafunzi ila kiundani nmeanza last year... ningeweza kukushauri mambo kadhaa

miracle box na Volcano ni mabox maarufu sana kwakua yanafanya vitu vingi lakini katika ufanisi wa kutenda kazi hayafai
niamini mkuuu... fuata maelezo ya wakuu waliokwambia uangalie aina simu zinazopatikana maeneo uliyopo.

kama kuna wateja wengi wa simu za kichina kama (spd na MTK) yaani tecno, itel na wengine nakushauri first priority chukua infinity box, option ya pili ningeweza kukushauri iwe miracle box ..
uzuri wa miracle ukilipia inakuja na package ya simu zinazosuport zote , lakini infinity ndio nzuri ila kila aina ya jamii ya simu unalipia kivyake... mfano ili kuflash simu za mtk utalipia huduma ya mtk pia hivyo hivyo kwa qualcom na spd na nokia.
pia hizi simu za kichina linapokuja suala la ku unlock mtandao infinity inafyatua simu za kichina kiurahisi kuliko volcano na miracle....

lakini hayo mabox linapokuja suala la simu za gharama hasa samsung, lg na baadhi ya huawei Hayo mabox hapo juu hayana msaada sana... hapo utahitaji uwe na octoplus, octopus na zx3 ndo yanafaa zaidi

pia ukija kwenye visimu vidogo vya button hasa vya MTK, Coolsand, Spd, mstar na wengine Baba yao ni GPG box... Hili ni very cheap pia lina saidia na zle smartphone low quality za kichina zisizo na 3g, kutoa passwords na vitu vingine...

lakini pia Kuna ishu za ku unlock mtandao watu wanashauri uwe NCK, Sigma key na Furious box (japo mm mwenyewe sijawah tumia


lakini Muhimu Jifunze kuflash smu na Ku repair bila kutumia mabox kwanza ndo utaiva
mkuu uko mkoa gani maana nataka sana hizo ishuu plz nicheck kwa email frdrckngg@gmail.com maana kuna watu wana piga pesa sana hapa mtaani na wako wawili na wanaringa sana. au inbox
 
mkuu mbna zx3 crack ina write na ku read certificate vizuri tuu... lakini kubadili imei ndo huwa ina leta error
samsung tool pro crack 2.24 nadhani ndo latest iliyopo while kwa box latest ni 2.27..... kwenye repair itafanya kazi chache saaaana bt nyingi inafail kirun ztool na hapo ujanja mfukoni.. ikiwa na box hayo yote hukutani nayo.. point yangu ni kumpinga jamaa aliyedai kuwa kazi zote za flashing, unlock na repair unaweza fanya bila hata box, huo ni uongo dhahiri... nimeshatumia almost all cracks bt box ndo kila kitu
 
hakuna kosa kiflash na unlock cmu icpokuwa CHANGE OF IMEI ndo kosa lakini kuna change of imei na imei repair yaani restoring phone's original imei after corupt ambapo restoring original imei siyo kosa kisheria.
 
inategemea na eneo ulipo je ni simu gani sana zinazopatikana eneo husika au chukua z3x box[/QUOTE said:
Z3x kwa mtu anayeanza kazi mkuu c nzuri, ukichukua hyo unakuwa umefunga ndoa na samsung pekee au plus Lg if activated... anatakiwa apate box ambayo ni multibrands km sigma,nck au avenger au miracle/volcano/gpg kwa ajili ya chinese phones..
 
Back
Top Bottom