Tangu jana nimejeribu kuingia kwenye website ya bodi ya mikopo bila mafanikio,nadhani kuna technical problem kwenye server yao,nina log kwenye http://olas.heslb.go.tz/ lakini inatoa jibu kuwa 504 gateway time out unable to connect to origin web server.
Tafadhali mwenye kujua tatizo ni nini na ufumbuzi ukoje atujuze ili tuendelee kujaza form za mikopo.
Asanteni wana jamvi kwa msaada wenu
Tafadhali mwenye kujua tatizo ni nini na ufumbuzi ukoje atujuze ili tuendelee kujaza form za mikopo.
Asanteni wana jamvi kwa msaada wenu