kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,461
kuna jamaa anayo dawa ya kienyeji unatengeneza mwenyewe nikionana nae takushtuaNdugu wanabodi,
Kichwa cha habari chahusika.
Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.
Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.
Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.
Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.
Ahsanteni.