MSAADA: Binti Mrembo anatembea na Kaka Mwathirika lakini hajui!

The responsibilty of not being infected with HIV lies on self hands,hivi huyo binti kwa umri huo alionao,hajui kwamba mtu yoyote anaweza kuwa muathirika,na wala usimjue kwa macho,sasa basi atafanya vipi ngono na mtu asiyeijua status yake,kwa karne hii ya sasa!na je atakuwa amelala na wangapi,kwa dizaini hiyo,asiowajua status zao,huo ni uzembe wa binti mwenyewe,na hata akiachana na huyo kaka yako,aweza ngonoka na mwingine pia bila ya kujali status yake,cha muhimu ni ajijali na ajue kwamba VVU havichagui,yoyote anaweza akawa navyo.
 
Ukijiamualia kuwa mlinzi wa huyo binti manake ni kuwa inabidi umlinde dhidi ya kila bandudi, which is next to impossible. Teach her how to plant a tree. Akiamua atapanda akama kokwa bado halijapekechwa na funza. Otherwise kuwa mpole. Na ukimuambia ilhal analala nae bila condom already?
Heeeee.... Kwa hiyo ashuhudie mauaji bila kuyaziwia kisa it's not his business?
In matter of life and death, kila anae weza kuokoa maisha anahuzika moja kwa moja!
Hii ni alama ya altruism kubwa sana, wala sio kwamba jamaa kakosa cha kufanya
 
Back
Top Bottom