Msaada: Bibi yangu ameshtuka mguu na kuvimba

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Naombe msaada huo maana hospital tumeenda na amepewa dawa ambazo hadi zimeisha mguu upo vilevile. Labda kuna ambae anajua hali hii hutokana na nini.

CHANZO CHA MGUU HUU KUVIMBA.
Kwa maelezo yake ya mdomoni ni kuwa alikuwa anaenda mtoni kuchota maji akiwa njiani alikanyaga kama mjiti kadogo tu na akawa amehisi maumivu eneo alilokanyaga.

Hakujua kama itafikia hali hiyo akawa ameendelea na safari yake. Kwa wiki moja haikumzuia shughuli zake ila kwa mbali kwa ndani yalikuwa maumivu.

Mguu ulianza kuvimba zaidi ndani ya wiki ya pili na kuona ni serious issue. Mguu wa kushoto na huo kwenye picha ndio mguu wenyewe

IMG_20211024_130635_828.jpg
 
Back
Top Bottom