Msaada: Biashara ipi naweza ifanya kupitia followers wangu wa Facebook.?

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
297
607
Wakuu kheri ya mwaka mpya, Nakiri kua sisi tulio humu tunatofautiana maarifa pamoja na jicho la kuiona fursa.

Mimi hapa Naomba mwongozo, Nina account "page"Facebook inayo jihusisha na maudhuhi ya michezo Sasa nimefikisha follower's laki moja 100k

Japo kua account inatumia jina la mchezaji wa ligi kuu ya Tanzania bara. NPL

Ni Biashara ipi ambayo naweza kuifanya kupitia hawa followers wangu.?
 
Niuzie hiyo account
Wakuu kheri ya mwaka mpya, Nakiri kua sisi tulio humu tunatofautiana maarifa pamoja na jicho la kuiona fursa.

Mimi hapa Naomba mwongozo, Nina account "page"Facebook inayo jihusisha na maudhuhi ya michezo Sasa nimefikisha follower's laki moja 100k

Ni Biashara ipi ambayo naweza kuifanya kupitia hawa followers wangu.?
 
Ungeanza na kutaja jinsia yako kwanza ili upate ushauri stahiki.

Jinsia yako itaweza kutambua hadhira uliyonayo hivyo kuweza shauri biashara sahihi.
 
Je, ina post za kingereza au kiswahili?
Ungeweka link ya iyo page ingekuwa rahisi kukushauri

Kuna idea nyingi
1: App : Kwenye page utakuwa unaweka habari kwa ufupi , but full stori atabonyeza link ya app , huko atakuna na Ads , ambazo zitakulipa
2: Monetization : Unaweza uka-monetize page kwa kutumia facebook

Weka link ili iwe rahisi kukupa nini cha kufanya
 
Haina post za kiingereza mkuu, ina post za kiswahili tu na imekaa Kama private account.
 
Akili kubwa hii
Tangaza unauza dawa za kuongeza nguvu za kiume.

Chukua asali changanya na mdalasini weka kwenye vichupa vidogo, print label zako zenye picha ya misuli bandika kwenye chupa.
Niamini mimi utakuja kunishukuru.

Mimi najitolea kutoa ushuhuda kwenye picha utakayoweka kuwa dawa yako kiboko nimeenda round 8.
 
Je, ina post za kingereza au kiswahili?
Ungeweka link ya iyo page ingekuwa rahisi kukushauri

Kuna idea nyingi
1: App : Kwenye page utakuwa unaweka habari kwa ufupi , but full stori atabonyeza link ya app , huko atakuna na Ads , ambazo zitakulipa
2: Monetization : Unaweza uka-monetize page kwa kutumia facebook

Weka link ili iwe rahisi kukupa nini cha kufanya
Tunakutafuta PM hatukupati mkuu, naomba kukanyaga ganda la ndiziii

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Tangaza unauza dawa za kuongeza nguvu za kiume.

Chukua asali changanya na mdalasini weka kwenye vichupa vidogo, print label zako zenye picha ya misuli bandika kwenye chupa.
Niamini mimi utakuja kunishukuru.

Mimi najitolea kutoa ushuhuda kwenye picha utakayoweka kuwa dawa yako kiboko nimeenda round 8.
Mkuu umetisha
 
Pia njia nyingine ni kuwatangazia wateja wako biashara zao
Kwa Tsh 5000 kwa post ,
Kwa Instagram , huwa wanatoza 5000 hadi 2500

Utatengeneza post kuwa unatangaza biashara , na gharama ni 5000 , pamoja na mawasiliano yako , ili mwenye tangazo akucheki
 
Back
Top Bottom