Msaada bei ya kukodi greda la kuchimba barabara

van de

JF-Expert Member
Dec 11, 2013
200
77
wanajamvi mwenye kujua sehemu ambayo naweza kukodi greda la kuchonga barabara na la kushindilia anijuze tafadhali pia kama anafahamu na rate zake iwe ndani ya wilaya ya kinondoni.
 
wanajamvi mwenye kujua sehemu ambayo nawe
za kukodi greda la kuchonga barabara na la kushindilia anijuze tafadhali pia kama anafahamu na rate zake iwe ndani ya wilaya ya kinondoni.

kuna roller ya kushindilia lakini ni kwa zaidi ya siku 2
 
wanajamvi mwenye kujua sehemu ambayo naweza kukodi greda la kuchonga barabara na la kushindilia anijuze tafadhali pia kama anafahamu na rate zake iwe ndani ya wilaya ya kinondoni.
Wilaya ya Kinondoni ni kubwa sana. Sema upo wapi/kazi ipo wapi exactly! Baadhi ya haya makitu hayaruhusiwi kutembea yenyewe kwenye barabara za kawaida.
 
Njoo hapa Mantrac TAnzania (CATERPILLAR)watakukodishia kwa bei nzuri kama vipi ni PM
 
Njoo hapa Mantrac TAnzania (CATERPILLAR)watakukodishia kwa bei nzuri kama vipi ni PM

Kaka kwa nn usitutajie bei ya kwa saa 1??? mana kuna mtu alinambia yeye ni nafuu sana na ofisi zao ziko Africana na alisema ni 70 kwa saa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom