Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Naombeni msaada wa bank za Tanzania zenye huduma ya money gram maana nimeenda kwenye NMB na CRDB wamesema hawana hiyo huduma.
DTBNaombeni msaada wa bank za Tanzania zenye huduma ya money gram maana nimeenda kwenye NMB na CRDB wamesema hawana hiyo huduma
Tatzo sipo dar nipo lushoto hukuu kakaDTB
AZANIA
BANK YA POSTA
KBC
Bank nyingi tu
Lushoto hakuna benki ya posta?Tatzo sipo dar nipo lushoto hukuu kaka
bank ya posta kama ipo au ingia kwa simu kwenye web yao then click agent near meTatzo sipo dar nipo lushoto hukuu kaka
Asante nimeonabank ya posta kama ipo au ingia kwa simu kwenye web yao then click agent near me