Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

samuel siyame

New Member
Feb 9, 2016
1
0
Wakuu habari,

Ningependa kujua ni budget ya kiasi gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha maji ya kopo, kama Kilimanjaro & Uhai?

mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................

Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo huku:):):))
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
View attachment 1204932hii ni filling machine

View attachment 1204933hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda

View attachment 1204938hili ni tank (dogo)
View attachment 1204940Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)

kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
(siuzi ila nimefanya project nyingi za hizi mambo View attachment 1204932View attachment 1204933View attachment 1204938View attachment 1204940

View attachment 1204969

hii video ni kuload chupa kwa filling machine na ku cap.
View attachment 1204970
 
Mimi mwenyewe niliwahi kupata wazo kama hili lakini kwa machache niliyofanyia survey. Inafika million 1,000 .
Bilioni moja itatosha endapo majengo/magodowns tayari unayo.
Hii bilioni moja ni kwa ajili ya kununua mitambo tu tena ya wachina.
 
mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................

Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo huku:):):))
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
filling machine.png
hii ni filling machine

bloowing machune.png
hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda

tank.png
hili ni tank (dogo)
label.png
Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)

kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
(siuzi ila nimefanya project nyingi za hizi mambo
filling machine.png
bloowing machune.png
tank.png
label.png
 
Milioni 140 ni mashine moja tu tena ya kichina.
Kwenye packaging line Kuna mashine Kama 5 hivi,hapo bado hujanunua matank, generators,hujachimba visima.
Sio shuhuli ndogo

mkuu umewahi kununua hizi mashine?umewahi kununua za capacity gani?Sababu maelezo yako hayana ukweli.Kiwanda cha kawaida kinacho fill kuanzia chupa 1000 za 550ml kinaanzia 55,000$.Soma comments zangu za nyuma.Ni kitu ambacho nimekifanya so nina uhakika nacho.kuna viwanda vimeanzishwa kwa bei hiyo na vina run more than 2 years now.Mimi ndo niliwanunulia complete system.Kimoja kipo Ruvuma .Sitaki kuweka details zote za buyers.Ila angalia hapo juu attachments.
 
Nitajie capacity ya filling machine kwenye hiyo line(chupa ngapi kwa saa au dakika),brand name(make).
Na je katika hii pesa $55000 utapewa na matenki,RO plant,blending plant?
 
Nitajie capacity ya filling machine kwenye hiyo line(chupa ngapi kwa saa au dakika),brand name(make).
Na je katika hii pesa $55000 utapewa na matenki,RO plant,blending plant?

Nadhani kama ulisoma vizuri ungweza kuona nilicho kuandikia hapo juu.Nimeandika capacity za mashine ya ku wash,fill na ku cap(3-in1).Ninakuambia hivi sababu nimekamilisha project za watu wengi.Angalia hizo picha ni real photos nareal videos nimezichukua mwenyewe nilivoenda kukagua mashine za mtu kabla sijazituma.
Nikuulize umewahi kuifanya hii biashara?Ama unauzoefu gani?Ningekutajia hata viwanda vya maji ambavyo nimewaletea machine complete na viwanda vina run,ila naona ntakuwa nawaingilia na najiingilia.Anyway kunakiwanda kimoja cha maji Jo...h M....kiko Ruvuma kampuni inaitwa Md......k. 5.Fuatilia mimi ndio nimeleta complete system na kiwanda kina run.nilileta
1.belt ya chupa kwenda filling machine
2.filling machine yenyewe (1000+) bottles per hour
3.silca sand filter,water purifier,sodium iron exchange,preciaion iron filter (hii inakuwa in chain pamoja ila mitungi ni tofauti)
4.tank
5.shrink sleeve machine
6.bottle blowing machine
7......
8.......
9.....

hii ni project moja tu ambayo ina run Tz na mimi ndo nimeleta.Naongea kitu ninacho kifahamu sio story toka kwa watu.
 
Nadhani kama ulisoma vizuri ungweza kuona nilicho kuandikia hapo juu.Nimeandika capacity za mashine ya ku wash,fill na ku cap(3-in1).Ninakuambia hivi sababu nimekamilisha project za watu wengi.Angalia hizo picha ni real photos nareal videos nimezichukua mwenyewe nilivoenda kukagua mashine za mtu kabla sijazituma.
Nikuulize umewahi kuifanya hii biashara?Ama unauzoefu gani?Ningekutajia hata viwanda vya maji ambavyo nimewanunulia machine complete na viwanda vina run,ila naona ntakuwa nawaingilia.Anyway kunakiwanda cha mtu mmoja cha maji anaitwa Jo...h M....ka yuko Ruvuma huwa anakuwa na kampuni inaitwa Md......k. 5.Fuatilia mimi ndo nimewaletea complete system na kiwanda kina run.nilileta
1.belt ya chupa kwenda filling machine
2.filling machine yenyewe (1000+) bottles per hour
3.silca sand filter,water purifier,sodium iron exchange,preciaion iron filter (hii inakuwa in chain pamoja ila mitungi ni tofauti)
4.tank
5.shrink sleeve machine
6.bottle blowing machine

hii ni project moja tu ambayo ina run Tz na mimi ndo nimewanunulia.Naongea kitu ninacho kifahamu sio story toka kwa watu.
Mkuu Mimi sipo kiubishi ila nahitaji kujua zaidi.
Mimi sio mfanyabiashara ila mtaalamu wa kwenye viwanda vya kinywaji na nilikuwa na mpango miaka ijayo nianzishe kiwanda changu ndio maana nakuuliza kwa details.
 
Ukiona mtu anazunguka maelezo mepesi ya kutaja tu ni chupa 100 au 2 kwa saa ujue huyo ni dalali ndo maana kakimbia kusema ali-record wakiwa china.
 
Ukiona mtu anazunguka maelezo mepesi ya kutaja tu ni chupa 100 au 2 kwa saa ujue huyo ni dalali ndo maana kakimbia kusema ali-record wakiwa china.
Hata Mimi imenishangaza kidogo.
Namuuliza swali fupi analeta maelezo mengi,mara atume picha,mara atume video za wachina.
Kama picha na video hata Mimi Niko nazo kwa simu yangu na haiwezi kuwa kigezo Cha utaalamu wangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom