samuel siyame
New Member
- Feb 9, 2016
- 1
- 0
Wakuu habari,
Ningependa kujua ni budget ya kiasi gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha maji ya kopo, kama Kilimanjaro & Uhai?
Ningependa kujua ni budget ya kiasi gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha maji ya kopo, kama Kilimanjaro & Uhai?
mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................
Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo huku)
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
View attachment 1204932hii ni filling machine
View attachment 1204933hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda
View attachment 1204938hili ni tank (dogo)
View attachment 1204940Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)
kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
(siuzi ila nimefanya project nyingi za hizi mambo View attachment 1204932View attachment 1204933View attachment 1204938View attachment 1204940
View attachment 1204969
hii video ni kuload chupa kwa filling machine na ku cap.
View attachment 1204970