Msaada: Bajeti ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa inaweza kuwa kiasi gani?

Kazi kwani nalipwa?Ukiuliza kwa staha kuna shida gani?Nipanic sababu ya mtu nisiye mfahamu?either mimi ama wewe kuna mtu ana matatizo.
soma kabla hujabwabwaja.Nimeandika capacity ya machine mtu bado ananiuliza capacity.By the way huyo hajaanzisha uzi,all the information nilizoshare zilikuwa kwa ajili ya mwanzisha uzi na watu wenye lengo la kujifunza.Sio wanaojifanya wajuaji na hawajui kitu
Kwa hiyo ukishaanzisha kitu hutakiwi kuulizwa? kunae shida kichwani mwako unasema tunaleta ujuaji wewe ndo mjuaji bila sababu, ulishindwa nini kumuulekeza aliekuuliza zaidi ya kuleta mbwembwe.
 
Mkuu viwanda au mashine wanazotengeneza ni nyingi hata siwezi maliza kuorodhesha.Nikutajie tu hata mbili labda
1.Machine za kutengeneza paper cups
2.Mashine za kutengeneza vyakula vya samaki (pellet machine) na vyakula vya kuku
3.complete system za kutengeneza mafuta(oil press) kama ya alizeti,karanga,soya etc
4.complete system ya kutengeneza misumari
5.Brick & block forming machine
etc etc
Hope umepata picha
Naomba gharama ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, I mean feed mixer na ya kutengeneza pellets Boss.

Ahsante
 
Mbezi beach Africasana kuna wachina wanauza machine zote complete za kiwanda cha maji
 
Kwa hiyo ukishaanzisha kitu hutakiwi kuulizwa? kunae shida kichwani mwako unasema tunaleta ujuaji wewe ndo mjuaji bila sababu, ulishindwa nini kumuulekeza aliekuuliza zaidi ya kuleta mbwembwe.

hukuona kama nilielekeza kabla hajauliza swali?kuniuliza kitu ambacho nimeshakiandika tayari inamaanisha hukusoma maelezo yote.kama hukusoma maelezo hayo ni matatizo yako binafsi.
 
Naomba gharama ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, I mean feed mixer na ya kutengeneza pellets Boss.

Ahsante

Bei za machine za pellets zinategemea na uwezo wake.
1.inayotengeneza 30-50 kg/h ni 5,950,000 tsh
2.60-80 kg/h ni 7,050,000 tsh
3.120-150 kg/h ni 7,300,000 tsh
Screenshot (213).png
 
Ahsante sana Mkuu, vipi kuhusu feed mixer? Hizo gharama hapo juu ni hadi inanifikia ama?

Hapana.Hizi nibei za huku.Ukitaka hadi kutuma mpaka Dar utaongeza 650k kwa kila machine hapo.Ushuru bandarini utamalizana nao.
Kuhusu bei za mixer hadi nipitie makabrasha yangu mkuu
 
Hapana.Hizi nibei za huku.Ukitaka hadi kutuma mpaka Dar utaongeza 650k kwa kila machine hapo.Ushuru bandarini utamalizana nao.
Kuhusu bei za mixer hadi nipitie makabrasha yangu mkuu
Nitashukuru sana kama ukinipatia pia bei ya hiyo feed mixer boss, Hizi mashine hazina rukuzu 100% kweli?
 
mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama
1. filling machine ina capacity kiasi gani,(inajaza chupa ngapi kwa saa).
2.Unnataka tank la ukubwa kiasi ani
3.Blowing machine ina uwezo gani
4.unataka full automated au semi automated
5.labeling machine utanunua au utaprint lables kwa kiwanda kingine
6.utakuwa una pack maji yako kwa nylon (utahitaji shrinking machina) ama utapack kwenye box
..........................

Nimefanyya project na watu tofauti kwa kuwanunulia hiz hii mitambo(complete ) inchini China (Bado nipo huku:):):))
Hii ni moja ya kazi ya mtu mmoja anapatikana Ruvuma.
View attachment 1204932hii ni filling machine

View attachment 1204933hii ni semi automatic blowing machine.Ni ndogo inablowchupa mbili kila muda

View attachment 1204938hili ni tank (dogo)
View attachment 1204940Aliamua kuprint lable China (kwa kuanzia)

kuna vitu vingi ambavyo lazima uvizingatie ili kujua gharama halisi.
Ukitaka kiwanda kinaeleweka ,complete system gharama zinaanzia 50,000$.
(siuzi ila nimefanya project nyingi za hizi mambo View attachment 1204932View attachment 1204933View attachment 1204938View attachment 1204940
Mr Jr said naomba tuwasiliane please
 
Mkuu nitakusaidia kuanzisha na million kumi na tano tuu,nitakupa mashine semi auto zote.nipigie 0673315821
 

Attachments

  • IMG_20230516_075705_326.jpg
    IMG_20230516_075705_326.jpg
    2.9 MB · Views: 6
  • VID_20231026_131801.mp4
    67.9 MB
  • Screenshot_20231120-133958.jpg
    Screenshot_20231120-133958.jpg
    388.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom