Msaada: Bajaji hii imenifanyia uhalifu

Zamani jf ilikuwa ya watu wanaojielewa na heshima zao lakini siku hizi jf imeingiza wahuni kutoka Facebook wamevamia huku tunapenda kuwaambia nyie wahuni mliovamia huku eleweni ya kwamba jf kuna great thinker wengi sana humu ndani MTU anapoleta tatizo lake tunalijadiri kama great thinker na sio huo upumbavu mnaouleta mtu anaandika thread yake mnaanza kumbeza sijui mlevi sijui nini hatutaki upumbavu wenu pelekeni kwenye vijiwe vya walaunga wezenu ma wavuta shisha you speak nonsense kwenye mambo ya serious.... Mode tunaomba muwe mna wa delete wahuni kama hawa wanachafua hali ya hewa humu ndani waende huko kwenye Facebook wenzao wakafanye ujinga wao.
 
Mkuu mbona hujamjibu mleta mada na wewe umeingia kwenye porojo..

Mleta mada
Nenda kareport police pia kama ulipandia kituoni rudu pale na nguvu mpya...

Currently lock line yako na simu kwa IMEI
 
Kwani umepiga ramli?Umejuaje kama mlevi?Anababaika kwa sababu amefanyiwa uhalifu.Halafu,mbona huwa mnahusisha mambo ya hovyo na ulevi tu?Anapokunywa anatumia hela.Hanywi bure.Kama ni rahisi hebu na weye tumia hela kwa kula ugali wa elfu hamsini kila siku peke yako.
...kwamba atafune ugali wa ulfu 50 kila siku
 
Kweli zamani watu walikua wanatumia vizuri JF, ilikua mada ikitolewa, comment ya kwanza tu ilikua inatoa majibu. Siku hizi utasikia nawahi siti.
Imekuwa ya ajabu kweli...unajiuliza huyu anawahi siti anaenda wapi au anataka kusikiliza nini? Unabaki unamuangalia unasema hiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom