Msaada bachelor in TCM and Western Medicine (China) vs Bachelor of Medicine and Surgery (Ukraine)

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari ndugu zangu mimi nimemaliza form comb PCB niliappy nje kwa kupitia global education na hz ndio course nilizopata je ipi course nzuri hapo?

Maana lengo langu lilikuwa na MD (DOCTOR OF MEDICINE) ila nilikusa chuo chenye ada nafuu vyote nilivyo pata walikuwa wanataka dolla si chini ya elfu 10.

Asante sana na samahan kwa usumbufu
 
Ungetaka unafuu zaidi mhimbili na bugando.

Bt kutokana na matokeo pia kairuki ni nafuu compaired to huko ng'ambo.

Anyway china ndio fresh.
 
Kwa wasiofahamu,TCM= Traditional Chinese Medicine
Habari ndugu zangu mimi nimemaliza form comb PCB niliappy nje kwa kupitia global education na hz ndio course nilizopata je ipi course nzuri hapo?? Maana lengo langu lilikuwa n MD(DOCTOR OF MEDICINE) ila nilikusa chuo chenye ada nafuu vyote nilivyo pata walikuwa wanataka dolla si chini ya elfu 10. asante sana na samahan kwa usumbufu
Basi akasome ukraine!!

Kama lengo lilikuwa kusoma MD kwann unataka badili gia angani?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kama ufaulu wako ni daraja la kwanza kwa pointi 3 mpaka 6 (Div 1.3 ~ 1.6) kwa nini usiombe chuo kikuu cha Muhimbili? Gharama yake ni nafuu ni chini ya $5k kila kitu kuanzia karo mpako makazi kwa mwaka na huhitaji hata kuomba mkopo.
 
Hapana sina hiyo mm na div 2 ya 11
 
Habari ndugu zangu mimi nimemaliza form comb PCB niliappy nje kwa kupitia global education na hz ndio course nilizopata je ipi course nzuri hapo?

Maana lengo langu lilikuwa na MD (DOCTOR OF MEDICINE) ila nilikusa chuo chenye ada nafuu vyote nilivyo pata walikuwa wanataka dolla si chini ya elfu 10.

Asante sana na samahan kwa usumbufu

Kasome Ukraine.
 
Ungekuwa vema uende Ukraine kwa kuwa huko utajifunza pia masuala ya surgery.kwa hiyo utakuwa na big chance
 
Dumbukia china kaa humo ,,,, ukienda JKCI madactari ni wa china na cuba ..watu wengi wanakwenda china kwa super specialization
 
Kama ufaulu wako ni daraja la kwanza kwa pointi 3 mpaka 6 (Div 1.3 ~ 1.6) kwa nini usiombe chuo kikuu cha Muhimbili? Gharama yake ni nafuu ni chini ya $5k kila kitu kuanzia karo mpako makazi kwa mwaka na huhitaji hata kuomba mkopo.
Wengi wanaogopa kusoma apa Tanzania kwa sababu ya upuuuzi mwingi kutoka kwa Lectures. Lectures wengi wanataka Rushwa za Ngono na maswala ya pesa. Sasa MTU asome semister kumi anafunuliwa chupi na Lectures. Na kila semister ikiwa na Masomo 9. Kama ni msichana apo akimaliza anakuwa anamzidi Baamedi kwa kufunuliwa chupi. Alafu anamaliza kazi za kutafuta kwa tochi, afunuliwe tena Chupi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tupambane apa tu tupige MD ya tz
Ttzo mm mwezio A level sikupass kwa grade kubwa nilikuwa na CHEM C BIOS C PHY D hivyo govement MD wote walinipig chini jamaa yangu ss hv na koma na kidiploma yaan acha tu roho inauma ila ndio hvyo nimeshidwa kufanya vizur ila kama ww upo MD kaza kaka ss wengine familia zetu ndio hvyo tia tia mchuzi
 
Back
Top Bottom