Huyo jamaa ni mzee, miaka 41Kweli.mwisho wa dunia unakarinia badala ya mzee kumtegemea kijana, imekuwa kijana anamtemea mzee.
Malimwengu.
Ufe kabla ya mzee, shenzy kabisa wwHApo Mzeya chakufanya ni moja tuu...wee mpeleke mbele za haki kwa muumba maana ana roho mbaya sana huo baba yako. Alafu fanya aliyofanya yule kijana arusha....waambie kabisa polisi hamna shida ya upelelezi mie ndio nimemtoa roho sababu ikiwa ni roho mbaya ya baba
mzee mwenyewe keshatangulia na alikuwa kiroho safi kabisa sina kinyongo naekabisa kaniwezesha kwa kweli.Ufe kabla ya mzee, shenzy kabisa ww
Ameshindwa hata kula na dalaliMzee amekuzidi akili 10000 miles away...
Na akakupa dili ya udalali akiamini utajiongeza ila bado umekuwa wa hovyo.....
Ameuza hio nyumba akiamini siku akifa mtagombana sana... Na wew ungekuwa mgomvi wa kwanza...
Wewe pia sio kijana.. Ni Mzee wa hovyo.... Jitafakari kaa mezani na Baba ako mzungumze
Unaumwa mavi wewe uchukue hatua gani kwani mali yako tafuta mali yako umri unaenda unawaza kusaidiwa na mzee ambaye amekulea toka mtoto hadi hivi sasa mtu mzima unaendea kuzeeka unatoa macho kwa old man aliyeishiwa nguvu kuwalea. Angalia usije kumkodia majambazi utaishia jelaHabari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Kenge eti mtoto wake kabisa sasa unajiona unahaki ya kupewa kila anachopa ta na uzee wakoNi mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Kajenge ya kwako, unataka akupatie hela ili ukacheze kamari! Hupati hata senti tano, nenda kalime upate pesa yako mwenyewe!Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Ameshindwa hata kula na dalali
hahahakijana una umri wa miaka 41? daah sisiem imetumaliza
The return of kikoozi jamaa huwa ananivunja mbavu na thread zake kuna ile moja anaomba ushauri, anakaa kwa Kaka analala sebleni kwakuwa kuna chumba kimoja sasa kero shemeji anamuamsha asubuhi ili afanye usafi, anaomba ushauri 😂😂😂😂Huyu jamaa karudi tena
Halafu bado anasubiri pesa kwa baba yake akatafuta maisha. Kidumu chama tawalaHahaahhah aiseee nmecheka sana
miaka 41 anakuaje kijana...?
Hahahahaha huyu jamaa ananikumbusha Daktari wa Meno hawa watu ni chenga kabisa. Moja ya waburudishaji bora kabisa humu jukwaaniThe return of kikoozi jamaa huwa ananivunja mbavu na thread zake kuna ile moja anaomba ushauri, anakaa kwa Kaka analala sebleni kwakuwa kuna chumba kimoja sasa kero shemeji anamuamsha asubuhi ili afanye usafi, anaomba ushauri 😂😂😂😂
Hahahaha, nimependa sana jibu lakoJenga yako