Msaada: Baadhi ya App za simu yangu hazifunguki

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
Salaam wakuu,

Straight to the point, simu yangu imeanza behavior Moja ya ajabu sana. Baadhi ya apps hazifunguki (zinazotumia internet access), kwa mfano uc browser turbo ilikua my favorite browser kwa fast downloading lakini saivi yaan hamna access kabisa mpaka nimeidownload dolphin ndio naitumia hapa.

Sijajua tatizo, nikihisi labda kitendo cha ku-upgrade kwenda ColorOS 11.1 na Android 11.1 kinaweza kuwa kimeletwa glitch kwenye system yangu. Hapa kwenyewe naandika hii thread kupitia browser ya dolphin kwa maana JF app sipati access. Msaada wakuu.
 
Angalia APN kwanza, APN za wap ama web sometime zina proxy, ambazo huharibu compability ya baadhi ya apps.

Jaribu kuweka APN mpya ya internet manual.

Pia sometime unapo upgrade bila kuformat husababishwa cache ku corrupt os mpya, kama unajua kuingia recovery zima simu ingia Kisha clear cache (sio data) inaweza saidia.

Ikishindikana kabisa backup Kisha format Kisha rudisha data.
 
Back
Top Bottom