Msaada: Baada ya tendo, siku tatu mbele natokwa na vipele

lovernel

Member
Oct 24, 2015
85
34
Naomba msaada matibabu,,, baada ya tendo,, siku tatu au nne natokwa na vipele pembezon mwa uume ambavyo huwasha sana na ukivikuna vinabaki vidonda,, nilichoma sindano ya ppf lakin tatizo lipo pale pale,,, naomba msaada nitumie dawa gani au hili tatizo linasababishwa na nn???
 
Sitaki nikuhukumu naomba kujua kwanza hilo tendo unafanya na nani..?? Lakini pia niweke angalizo wenda likawa GONO hilo lakini pia nichombeze mshara wa uzinzi huo. Wahi kwa dokta acha kupoteza muda huku.
 
nenda hospital ukafanyiwe vipimo kwa majibu ya uhakika zaidi.
 
Hahahahaha. Hata kama umezidiwa kiasi gani umeamua kufanya ngono zembe lazima hilo ulikute tu. Nenda hospital. Acha ngono
 
Sitaki nikuhukumu naomba kujua kwanza hilo tendo unafanya na nani..?? Lakini pia niweke angalizo wenda likawa GONO hilo lakini pia nichombeze mshara wa uzinzi huo. Wahi kwa dokta acha kupoteza muda huku.
Tendo nafanya na wife,,, nimepima mkojo mara nyingi sana hauna tatizo
 
Havijaanza leo ni mwaka wa 4 sasa na nipo na wife
Pole sana mkuu kama imechukua muda wote huo lakini pia nadhani kunahitajika maelezo ya kina zaidi ndugu; cha kufanya nenda hospitali ukaonane na docta muongee ana kwa ana na ikibidi achungulie kwa macho ili ajionee hali halisi na hivyo kuweza lukufanyia vipimo stahiki na kukupatia dawa vile vile
 
Nashukuru
 
Back
Top Bottom