Msaada: Baada ya kumaliza sindano za dozi ya U.T.I naona mwili hauko sawa

Fideliiiz

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
632
407
Poleni na msiba wa taifa waungwana.

Niende moja kwa moja kwa mada nilipima hospital Baada ya vipimo nikakutwa na U. T. I nyingi nikaandikiwa sindano za powersafe za mishipa now nimemaliza dozi lkn naona mwili wangu hauko sawa kabisa.

Je doctor inawezakuwa sindano zina madhara au zimeacha sumu mwilini, maana nasikia tumbo kuuma upande mmoja na maumivu kifuani na mgongoni naomba msaada
 
Mkuu, ni vizuri ungerudi hapo Hospitali ukawaeleze. Watajua cha kukusaidia

Pia UTI ukimaliza dose ni vyema ukapime tena kama imeisha. Maana kama hukufanya kipimo cha Culture ya urine, matibabu unayopewa kuna wakati huwa hayatibu tatizo lako hadi wabadilishe dawa nyingine.
 
Back
Top Bottom