Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,448
- 2,394
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila nikifunga azam antena iyo iyo kinaloose signal.
Nimejaribu kuangalia intensity nakuta 0 na signal quality ni 0 wakuu niambieni tatizo ni nini??