Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,621
- 1,706
Wasalaam Wakuu,
Katika simu yangu ya android kuna tatizo limenikumba leo, kuna app nimeweka lakini baadaye nikaona imesababisba kutokea mara kwa mara matangazo.
Nilipotaka kuiondoa ikagoma na kuniletea ujumbe huu: Can't uninstall because this package is an active device administrators, nimerudia mara kadhaa bado imegoma, nifanyeje kuiondoa?
Chief-Mkwawa na wadau wengine.

Last edited by a moderator: