Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Wadau habari za Usiku poleni na majukumu naomba wote turejee kichwa cha habari kama kinavyosema naomba mtu mwenye Application Nzuri ya kuangalizia mpira hasa hasa ligi ya Uingereza na Ligi kuu ya Mabingwa Ulaya (UEFA ) kwa simu zinazotumia system ya Android naomba anisaidie maana mimi nimekuwa natumia mobro lakini naona ina bugs nyingi sana na ina stuck sana vile vile inakula sana bando ivo nikipata Application ambayo ni nzuri na data saver nitashukuru sana
Nawasilisha Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom