MSAADA : APPLICATION NZURI YA KUANGALIA MPIRA ONLINE KWA ANDROID PHONES

Mr Penal Code

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
793
Points
250
Mr Penal Code

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
793 250
Wadau habari za Usiku poleni na majukumu naomba wote turejee kichwa cha habari kama kinavyosema naomba mtu mwenye Application Nzuri ya kuangalizia mpira hasa hasa ligi ya Uingereza na Ligi kuu ya Mabingwa Ulaya (UEFA ) kwa simu zinazotumia system ya Android naomba anisaidie maana mimi nimekuwa natumia mobro lakini naona ina bugs nyingi sana na ina stuck sana vile vile inakula sana bando ivo nikipata Application ambayo ni nzuri na data saver nitashukuru sana
Nawasilisha Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
2,242
Points
2,000
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
2,242 2,000
Vile vile inakula sana bando...hapo Sijui tukusaidiaje

Kuna mtu alitoa tangazo anaunganisha kifurushi cha bure mwezi mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msondomba

msondomba

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
884
Points
1,000
msondomba

msondomba

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
884 1,000
Wadau habari za Usiku poleni na majukumu naomba wote turejee kichwa cha habari kama kinavyosema naomba mtu mwenye Application Nzuri ya kuangalizia mpira hasa hasa ligi ya Uingereza na Ligi kuu ya Mabingwa Ulaya (UEFA ) kwa simu zinazotumia system ya Android naomba anisaidie maana mimi nimekuwa natumia mobro lakini naona ina bugs nyingi sana na ina stuck sana vile vile inakula sana bando ivo nikipata Application ambayo ni nzuri na data saver nitashukuru sana
Nawasilisha Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna World sport stream.. Livenet.TV. jaribu izo ni nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengobovu

Pengobovu

Senior Member
Joined
Dec 16, 2016
Messages
194
Points
250
Age
26
Pengobovu

Pengobovu

Senior Member
Joined Dec 16, 2016
194 250
Wadau habari za Usiku poleni na majukumu naomba wote turejee kichwa cha habari kama kinavyosema naomba mtu mwenye Application Nzuri ya kuangalizia mpira hasa hasa ligi ya Uingereza na Ligi kuu ya Mabingwa Ulaya (UEFA ) kwa simu zinazotumia system ya Android naomba anisaidie maana mimi nimekuwa natumia mobro lakini naona ina bugs nyingi sana na ina stuck sana vile vile inakula sana bando ivo nikipata Application ambayo ni nzuri na data saver nitashukuru sana
Nawasilisha Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia WSS hutojuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,285,652
Members 494,728
Posts 30,869,508
Top