Msaada; app gani naweza kutumia ku extract picha/michoro kutoka pdf files?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
684
1,000
Salam zikufikie gapo ulipo.
Naomba msaada huo, nataka kuchukua michoro kwenye mitihani (past papers) mbalimbali kwa ajili ya matumizi yangu (kuandaa pepa nyingne). Naweza kufanyaje?
Note: smartphone na siyo pc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,850
2,000
Nenda stationery mwambie mmliki wa computer akupe kwa muda Kisha fanya yafuatayo.

Fungua PDF file
Right click kwenye image uitakayo, Kisha copy then paste image kwenye Ms word.

Baada ya hapo save file kwenye Ms word Kama web page.

Utakapofungua kwenye desktop utakuta folder check ndani utapata picha zote zikiwa zimejitenga zenyewe.

Njia nyingine tafuta mtu mwenye adobe illustrator kwenye PC Kisha force open PDF ndani ya illustrator na kila kitu kutakuwa editable, kwahiyo utacreate new file na utakuwa unapaste image na kuexport as png or jpg.
Pia InDesign ni Bora zaidi, Ina section ya kupackage itakayo save kila asserts ndani ya folder baada ya kufungua hiyo pdf.

simple kuliko zote ni:

screenshot section ambapo kuna hiyo image kisha crop image mengine yatafuata

Komaa
 
Much thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
294
225
Salam zikufikie gapo ulipo.
Naomba msaada huo, nataka kuchukua michoro kwenye mitihani (past papers) mbalimbali kwa ajili ya matumizi yangu (kuandaa pepa nyingne). Naweza kufanyaje?
Note: smartphone na siyo pc.

Sent using Jamii Forums mobile app
...
Share pdf kwa scanner app na save image zako. Ninatumia app ya Quick PDF Scanner Pro.
...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom