Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
Wataalam
Nimetengeneza Web Driven Database kwa ajili ya Ofisi yangu ambao ina wafanyakazi kama ishirini hivi. The Database is up and running. Katika plan yangu nimededicate computer moja ambayo itakuwa kama Server amabyo nimeinstall WAMP server kwa ajilli ya MySQL, PhP pamoja na Apache. Tatizo lililopo ni kuzifanya Komputa nyingine (Client) ione database hapo ndipo kwenye tatizo.
Nimebadilisha jina la server from Localhost nimeweka IP address, pot nimeacha ile ile default 80, lakini hola. Nimefanya marekebisho kwenye <Directory ya wamp/www> nikaweka Allow from all lakini hola.
Naombeni Msaada jamani
Asanteni