Mdugo Member Nov 17, 2017 55 37 Sep 11, 2019 #1 Samahani wadau.... Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga. Natanguliza shukrani
Samahani wadau.... Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga. Natanguliza shukrani
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,117 33,401 Sep 11, 2019 #2 Nanusa harufu ya wale jamaa wa ile hela itume kwenye namba hii
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Sep 11, 2019 #3 Umechimba kwa muda gani hadi ukazipata?
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,117 33,401 Sep 11, 2019 #4 Kama kweli unazo hizo sarafu inasemekana zina madini ya kutosha tembelea sehemu wanakochakata madini/mikufu n.k upige pa. Hapa tytakuonakama tapeli tu
Kama kweli unazo hizo sarafu inasemekana zina madini ya kutosha tembelea sehemu wanakochakata madini/mikufu n.k upige pa. Hapa tytakuonakama tapeli tu
Ng'wanapagi JF-Expert Member Sep 18, 2013 9,125 8,627 Sep 11, 2019 #5 Kuna watu wanatafutwa hapa walizwe
Mgumu04 JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,934 1,043 Sep 11, 2019 #7 Nenda posta ya zamani kuelekea TASSAC jamaa wapo wanauza na kununua.