Msaada anayejua tabia za wanawake wa Kipogolo

Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250
Me ni Msukuma Nimetokea Shinyanga Nimeuza Ng'ombe Nimekuja Malinyi kutafuta mashamba, Nikiwa huku nimebahatika kumpata mtoto mzuri wa Kipogolo, kanidatisha naelekea kuoa, japo sijui kanipendea nini

Ndg zangu, suala la kuoa sio la kukurupuka, ni hatima ya maisha yako na familia yako kwa ujumla

Naomba Msaada kwa Anayejua Tabia za Wanawake Wakipogolo from Mahenge
Plz plz Msaada wenu kabla sijajilipua
 
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,234
Points
2,000
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,234 2,000
Hawana shida, chakula Chao kikuu ni wali samaki. Mgeni wa heshima akija pika wali na samaki ndungu au kuku.
Hawapendi ugali kabisa wakwe wakija usipike ugali hasa usiku watakwambia hawajala chakula.
Mengine uliza ili ujibiwe.
 
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250
Unawajua vizuri sna pia ww utakua miongoni mwao ila side B unaificha, kuna wengine wanasema uukooa Mpogolo wiki kwake wiki kwao

Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,632
Points
2,000
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,632 2,000
Unawajua vizuri sna pia ww utakua miongoni mwao ila side B unaificha, kuna wengine wanasema uukooa Mpogolo wiki kwake wiki kwao
Kila siku lazima aende kwa mama yake kama wanakaa karibu. Akipika mboga lazima kwa mama yake iende, kama mnaishi kijijini kipindi cha masika(kipindi cha shida) utapendwa sana wewe, kipindi cha kiangazi...mavuno hela ipo mtaani kibao lazima uachwe. Arudi kwo kudanga.

Anaweza kuleta timbwili la kugawana mali saa yoyote atakapoona mmepata mali. Hata kama ni magunia ya mpunga 20, mtagawana, kitanda mtagawana godoro na kitanda...hahahahahhaa. Kwenye vigodoro usipime, hawana mama, mtoto mkubwa wala mdogo...wote matako nje tu.
 
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250

Endelea,,,

Dalili zipo kabisa

Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,783
Points
2,000
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,783 2,000
Me ni Msukuma Nimetokea Shinyanga Nimeuza Ng'ombe Nimekuja Malinyi Kutafuta mashamba, Nikiwa huku nimebahatika kumpata mtoto mzuri wa Kipogolo, kanidatisha naelekea kuoa, japo sijui kanipendea nini
Ndg zangu, suala la kuoa sio la kukurupuka, ni hatima ya maisha yako na familia yako kwa ujumla
Naomba Msaada kwa Anayejua Tabia za Wanawake Wakipogolo from Mahenge
Plz plz Msaada wenu kabla sijajilipua

Amekupenda kwa sababu anajuwa wasukuma ni washamba wa kupenda wanawake weupe. Pili anajuwa wewe ni mfanya biashara na hela unazo. Tatizo la wanawake wa kipogoro ni kupenda kubugia ugoro hata kama bado wasichana, kingine ni wambea sana na huprnda kuonea huruma arafiki wa wenza wao ila huyo wako sijuwi.
 
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250
Amekupenda kwa sababu anajuwa wasukuma ni washamba wa kupenda wanawake weupe. Pili anajuwa wewe ni mfanya biashara na hela unazo. Tatizo la wanawake wa kipogoro ni kupenda kubugia ugoro hata kama bado wasichana, kingine ni wambea sana na huprnda kuonea huruma arafiki wa wenza wao ila huyo wako sijuwi.
Uswahili ni mkubwa
Wanaongea ataree,, Umbea wenyewe huo
 
Ahmad Abdurahman

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
416
Points
1,000
Ahmad Abdurahman

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
416 1,000
Mm nna mpogo anapenda kuongea sana, mda mwingi ni stori tu. Yaan mwenzie nko naperuz mtandaon yeye yuko anaongea tu. Hachoki, anaanzisha hili, anarukia hili, anaenda kule full raha. Ila sasa ukimuuzi hutaman kulia,, ukimbembeleza kidogo hucheka na story kama kawa.
Wali maharage au samaki. Siku saba za wiki mwez mzma bila kuchoka. Duh.
Huyu wang yy kigodoro hakuna ni mshika dini sana. Ila anapenda kwao sana haipiti siku hajaongea nao.
Nina wasi wasi huenda kweli hilo la ...wiki kwako...wiki kwao likawa la kweli. Pia hawa hawakawiag kuvunja ndoa, naishi nae kwa akili nkiona analeta fyokofyoko napiga chini kabla mambo hayajachelewa. Hilo la kugawana mali huenda ni kweli.
Unakuta mama, shangazi, dada, binamu n.k n.k hawajaolewa au hawana wanaume. Ila tu wana watoto. Can u imagine
 
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250
Kila siku lazima aende kwa mama yake kama wanakaa karibu. Akipika mboga lazima kwa mama yake iende, kama mnaishi kijijini kipindi cha masika(kipindi cha shida) utapendwa sana wewe, kipindi cha kiangazi...mavuno hela ipo mtaani kibao lazima uachwe. Arudi kwo kudanga.

Anaweza kuleta timbwili la kugawana mali saa yoyote atakapoona mmepata mali. Hata kama ni magunia ya mpunga 20, mtagawana, kitanda mtagawana godoro na kitanda...hahahahahhaa. Kwenye vigodoro usipime, hawana mama, mtoto mkubwa wala mdogo...wote matako nje tu.
Usiombe Mgombane

Anapayuka Hovyohovyo bila kujali majirani yeye hajali
Anakuchamba ile atare kwa kupayuka

Hiii ndo tabia itakayonifanya niachane nae fasta
 
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250
Nafuatilia kwa makin namii;
Sijajua kama na hii tabia ya kusingizia kuumwaumwa ili uwape hela ya matibabu mara kwa mara wakat ni uongo
Na pia kutaka uduma itolewe hadi kwa familia zao kama na hii ipo kwa wote
Afu suala la simu za jamaa wa nje kuwa nyingi na kufichaficha km na kwa wengine lipo
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
1,500
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
1,500 2,000

Mimi ngoja nirudi tu ulipo toka mitaa ya nindo, bubiki,bukumbi,ibadakuli,ukenyenge, uzogore, ushnaburandi, mwamashele, sorwa, usule,mishepo mwawaza, kizumbi, nereghani. Enda angalia angalia
 
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
1,500
Points
2,000
Sanchez magoli

Sanchez magoli

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
1,500 2,000
Funguka Basi huku Mahenge kunani?
Nilkua nataka nirushe ndoano yangu kwa binti mmoja wa kipogoro jirani zangu hapa dsm ila unanikimbiza bora nirudi usukumani si unajua Dada zako walivyo na adabu sana mkuu "kila kitu ni ndohoo tabu".hawa watanifaa Mimi.
 
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
690
Points
250
Mastamind

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
690 250
Nilkua nataka nirushe ndoano yangu kwa binti mmoja wa kipogoro jirani zangu hapa dsm ila unanikimbiza bora nirudi usukumani si unajua Dada zako walivyo na adabu sana mkuu "kila kitu ni ndohoo tabu".hawa watanifaa Mimi.
Mnyonge Mnyongeni

Wanajua Kukaangiza atareee
(ila sio mavyakula ya asili)

Wanajua Kuwachaba Majilani Watakaokuudhi
 
Forum statistics

Threads 1,294,203
Members 497,843
Posts 31,168,166
Top