MSAADA ANAYEIJUA VIZURI SONGEA!

KAJOKELA

Senior Member
Jul 3, 2018
155
74
Naelekea songea mjini kikazi,mwenye kujua guest kuanzia tsh 20000-30000/= anisaidie maana nitakuwepo 1 week,anisaidie siyo mbaya kama na mambo ya vijana pia nayo tujulishane maana yatasaidia siku kwenda haraka,ahsanten!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom