Msaada: Anayefahamu ubora wa Soyi Tv

Soyi TV nafanya nao kazi,

Naziuza sana,

Bei yake ni rahisi na zinalipa sana kibiashara.

So far,
Sjapata malalamiko yoyote kutoka kwa wateja wangu.

Changamoto kubwa nmeiona kwny usafirishaji,

hasa kwa sisi tunaotumia malori kusafirishia mizigo yetu.

Vioo vyao viko delicate sana kupasuka

Kusafirisha TV 10 au 15 ukakuta TV moja au mbili zimepasuka ni kawaida sana.

Uzuri ni kuwa TV zao zinaingiliana sana spea na TV za LG pamoja na Sony.

Pia agent wao, Nowdays ameanza kuleta spare zake hasa hasa Vioo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom