Msaada anayefahamu kuflash smart kitochi

Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
694
1,000
Anyway hyo mpka.uwe.na box.ya nck spd module na firmware ya hyo.simu ila kama.sio mtaalamu tafta fund
 
Mgumu04

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,800
2,000
Kuflash na kufungua mtandao ni vitu viwili tofauti.

1. Tuna flash kama os imecorupt, uliangusha simu ikawa haimalizi kuwaka
2.network unlock kuiwezesha simu itumie mitandao yote.

Smart kitochi karibu zote zinatumia chips za SPD kama kama inatatizo namba moja hapo juu na unatumia nck dongle fungua module ya SPS connect simu yako kisha chagua restore inakuwa imeisha hiyo.
Kama ni tatizo namba mbili fungua SPD module chagua network unlock inakuwa imeisha.

Kazi njema.
 
chuxxe

Senior Member
Feb 4, 2019
158
195

Mkuu izo app hazitumii box

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom