Salaam kwenu wakuu..
Kuna kijana mtoto wa rafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha NNE kwa Mara ya kwanza 2015 na kufeli kabisa..
Alirudia kusoma kwa kuanza kidato cha pili na kufanikiwa kuhitimu mwaka Jana ! Alipata ufaulu wa daraja la NNE pointi 26 kama ifuatavyo:-
Civ- D
His- D
Geo- C
Bio- C
Eng- D
Kisw- C
B/Math- F
*** Baba yake huyu mwanafunzi alikuwa na maono kijana aende advance lakini kuna tetesi kwamba anaweze asikubaliwe kujisajili kidato cha tano!
Tulishauriana na kuona uwezekano wa kupata kuendelea na masomo ikiwemo kupata kozi yoyote ambayo itamfaa baadaye!
Je, anaweza kusoma form 5? Au kozi gani inaweza kumfaa kulingana na ufaulu wake na itakuwa msaada kwake baadaye?
Naomba michango ya mawazo kutoka kwenu wanajamvi ili tumsaidie huyu kijana na wengine wanaofanana nao.
NB. Pesa baba yake anazo, yuko tayari kugharamikia ili mradi kijana asome!
Nawasilisha