Msaada: Anaweza kujiunga kidato cha tano au kusomea kozi gani?!!

inyele

JF-Expert Member
Aug 8, 2017
1,645
1,258
Salaam kwenu wakuu..
Kuna kijana mtoto wa rafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha NNE kwa Mara ya kwanza 2015 na kufeli kabisa..
Alirudia kusoma kwa kuanza kidato cha pili na kufanikiwa kuhitimu mwaka Jana ! Alipata ufaulu wa daraja la NNE pointi 26 kama ifuatavyo:-
Civ- D
His- D
Geo- C
Bio- C
Eng- D
Kisw- C
B/Math- F
*** Baba yake huyu mwanafunzi alikuwa na maono kijana aende advance lakini kuna tetesi kwamba anaweze asikubaliwe kujisajili kidato cha tano!
Tulishauriana na kuona uwezekano wa kupata kuendelea na masomo ikiwemo kupata kozi yoyote ambayo itamfaa baadaye!
Je, anaweza kusoma form 5? Au kozi gani inaweza kumfaa kulingana na ufaulu wake na itakuwa msaada kwake baadaye?
Naomba michango ya mawazo kutoka kwenu wanajamvi ili tumsaidie huyu kijana na wengine wanaofanana nao.
NB. Pesa baba yake anazo, yuko tayari kugharamikia ili mradi kijana asome!
Nawasilisha
 
Alifanya mtihani wa form 4 miaka 14 iliyopita.

Tukiamini kuwa alimaliza akiwa na miaka 16 mwaka 2005 atakuwa na miaka 30 sasa.

Nashauri akasomee fani anayoipenda
 
Mwaka 2015 bado hajakata tamaa duuu hatari, any way Private anasoma CBG,
2015 alifeli mkuu,,, karudi kahitimu mwaka Jana 2018 na hayo ndo matokeo yake ! Halafu cbg hajasoma chemistry, hiyo imekaaje hapo mkuu?
 
Salaam kwenu wakuu..
Kuna kijana mtoto wa rafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha NNE kwa Mara ya kwanza 2005 na kufeli kabisa..
Alirudia kusoma kwa kuanza kidato cha pili na kufanikiwa kuhitimu mwaka Jana ! Alipata ufaulu wa daraja la NNE pointi 26 kama ifuatavyo:-
Civ- D
His- D
Geo- C
Bio- C
Eng- D
Kisw- C
B/Math- F
*** Baba yake huyu mwanafunzi alikuwa na maono kijana aende advance lakini kuna tetesi kwamba anaweze asikubaliwe kujisajili kidato cha tano!
Tulishauriana na kuona uwezekano wa kupata kuendelea na masomo ikiwemo kupata kozi yoyote ambayo itamfaa baadaye!
Je, anaweza kusoma form 5? Au kozi gani inaweza kumfaa kulingana na ufaulu wake na itakuwa msaada kwake baadaye?
Naomba michango ya mawazo kutoka kwenu wanajamvi ili tumsaidie huyu kijana na wengine wanaofanana nao.
NB. Pesa baba yake anazo, yuko tayari kugharamikia ili mradi kijana asome!
Nawasilisha
2005 -2019 akasomee fani ajiajiri/aajiriwe tu
 
Mwambie akaifanyie mtihani kama private candidate other wise alisiti atoe hizo D
Kwa jinsi ninavyomjua sidhani kama anaweza kufuta D kabisa ,, binafsi niliona kama hakuna uwezekano wa kwenda form 5,, walau apate kozi yenye application ambayo itamfaa hata kujiajiri
 
Nimemaliza kidato cha nne Nimepata division2 ya point21 Na Nina
phys-C
chem-C
geo-C
Bio-C
Eng-C
mathe-D
naweza kusoma combination gan ya sayansi manake nasikia mwaka huu wanachukua cutting point za 8 Kwa sayansi
 
PCM PGM CBG
 
Mm nina phy_c. Bio_c. Chem_c math_d na wamenipangia cbg ,,je naweza kubadili kwenda pcb au pcm??
 
Salaam kwenu wakuu..
Kuna kijana mtoto wa rafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha NNE kwa Mara ya kwanza 2015 na kufeli kabisa..
Alirudia kusoma kwa kuanza kidato cha pili na kufanikiwa kuhitimu mwaka Jana ! Alipata ufaulu wa daraja la NNE pointi 26 kama ifuatavyo:-
Civ- D
His- D
Geo- C
Bio- C
Eng- D
Kisw- C
B/Math- F
*** Baba yake huyu mwanafunzi alikuwa na maono kijana aende advance lakini kuna tetesi kwamba anaweze asikubaliwe kujisajili kidato cha tano!
Tulishauriana na kuona uwezekano wa kupata kuendelea na masomo ikiwemo kupata kozi yoyote ambayo itamfaa baadaye!
Je, anaweza kusoma form 5? Au kozi gani inaweza kumfaa kulingana na ufaulu wake na itakuwa msaada kwake baadaye?
Naomba michango ya mawazo kutoka kwenu wanajamvi ili tumsaidie huyu kijana na wengine wanaofanana nao.
NB. Pesa baba yake anazo, yuko tayari kugharamikia ili mradi kijana asome!
Nawasilisha

Siyo lazima aende kusoma advance.. Sometimes kusoma advance na kuresit resit ni kupoteza tu muda na watu hawajui various alternatives.. But kama anapenda kusomea uhasibu.. Basi pitia andiko hili hapa then tuwasiliane..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom