Msaada Anaweza fanya kazi gani kwa ngazi za halmashauri Akiwa na BACHELOR IN BUSINESS ADMINISTRATION?

selemangrace346

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
450
613
Wakuu kwema?

Naomba kwa mwenye upeo...kijana wangu amechaguliwa kusoma kozi hii katika moja ya vyuo naomba kujua anaweza kufanya kazi gani kwa kozi hii hisusani katika ngazi za halmashaur?
 
Nilitaka nijue tu kwa Course hiyo anaweza fanya kazi katika idara gani bila kujali Ajira zipo au hazipo.
Labla afisa biashara ndani ya wilaya ambapo nafasi kwa miaka mitatu unaweza kusikia imetangazwa mara moja tu. Kama bado ananafasi ya kuchagua fani mwambie akasome community development au social work au sociology karibia kila mwezi NGO's zinatema nafasi, katika taasisi za serikali vyuo wanawahitaji janitor, wardern, halmashauri wanawahitaji afisa maendeleo ya jamii, afisa ustawi wa jamii, mtandaji wa kata, akiwa level ya certificate mtendaji wa kijiji kila wiki karibia nafasi hutoka. Na hii mwezi wa tisa na kumi ndiyo miradi mingi ya asasi hufungwa na kuanza hivyo ajira hutolewa ila kwa hiyo fani ya Bachelor in Business Administration labla kwenye makampuni .
 
Ungeuliza hilo swali kabla hajafanya application ingependeza zaidi.
Ila kwa kozi hiyo daaahh, ajiandae kufungua kampuni au kutumikishwa kwenye kampuni za watu kwa ujira mdogo
 
Labla afisa biashara ndani ya wilaya ambapo nafasi kwa miaka mitatu unaweza kusikia imetangazwa mara moja tu. Kama bado ananafasi ya kuchagua fani mwambie akasome community development au social work au sociology karibia kila mwezi NGO's zinatema nafasi, katika taasisi za serikali vyuo wanawahitaji janitor, wardern, halmashauri wanawahitaji afisa maendeleo ya jamii, afisa ustawi wa jamii, mtandaji wa kata, akiwa level ya certificate mtendaji wa kijiji kila wiki karibia nafasi hutoka. Na hii mwezi wa tisa na kumi ndiyo miradi mingi ya asasi hufungwa na kuanza hivyo ajira hutolewa ila kwa hiyo fani ya Bachelor in Business Administration labla kwenye makampuni .
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom