Msaada; Anataka kurudia mtihani wa kidato cha sita mchepuo wa PCB

jimmy2210

New Member
Sep 21, 2019
2
20
Kuna mtu ameniomba ushauri anataka kurudia mtihani wa form six PCB mwakan 2020 amemaliza mwaka huu je nimshaulije? Naomba msaada wa mawazo alikuwa na 3.14
 

gachacha

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,827
2,000
Akasome tuu kama bado dogo, elimu haina mwisho.

But apige msuli najua target yake ni md, ili asije kosa nafasi
 

Patiee

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
464
1,000
Anapoteza muda mkuu, usimshauri afanye hivyo .Lengo kuu la kusoma PCB ni aje kufanya MD,pharmacy kwa asilimia kubwa , hivi vitu vinahitaji ufaulu mkubwa sana ambao nina uhakika hawezi kuupata akirudia mtihani.

Mshauri afanye Ku rudia kwa mchepuo wa hge atafauru kama amepata 3.14 kwa PCB.
 

mwakajingatky

JF-Expert Member
May 30, 2018
551
1,000
Kwa pcb simshauri...pcb si kitoto,nina rafikizangu walirudia karibu mara mbili (wote), na kila wakirudia maksi afadhari wasingerudia tuu

Kwanza kabisa ajaribu kuangalia alikua anatamani kusomea nini,kama udaktari asirudia ,simshauri sababu kurudia pepa ukapata B au C ya bio au chem sio mchezo,pia nikama anaweza Akatwanga maji kwenye kinu...harafu hapo Nabado aje kupambana na ushindani, (atapoteza sana Muda)

Ikiwezekana aende diploma au aangalie coz tofauti kwenye awamu hii inayofuata,mfano kwa udom,kuna coz nzuri sana college za informatics,atapata tuu
 

Nicklaus

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
332
500
Kurudia sio inshu anatakiwa kujua anataka nn kama n MD au pharmacy kuna njia nyingi za kufikia huko si lazima arudie mtihani wa six. Njia ya elimu pana siku hzi
Afauate hii
Certificate~diploma~degree
 

htc One M9

Member
Feb 5, 2019
90
125
Kama ndoto zake ni kuwa MD au Pharmacist bora ange apply Diploma ya CO au Pharmacy akimaliza alafu akibahatisha ajira ataweza kujiendeleza akitaka
 

Geniustin

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
3,889
2,000
Kuna mtu ameniomba ushauri anataka kurudia mtihani wa form six PCB mwakan 2020 amemaliza mwaka huu je nimshaulije? Naomba msaada wa mawazo alikuwa na 3.14
Nashauri, aangalie uwezekano wa kwenda kusoma Diploma za Afya.

Kwa huo ufaulu, na Diploma akifaulu vizuri...Basi Ataweza kusoma Degree yoyote ya Afya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom