Msaada: Anatafuta kazi yoyote ya halali

muftyzo

Member
Jul 24, 2016
70
25
Habari zenu wana forum, nina ndug yangu wa kike age 22, alikuwa anatafta kibarua au kazi ya dukani ili nae aweze kujivua utegemezi japo kwa namna ndogo, yupo hapa dar, hivyo nimelifiksha kwen wakubwa kama yupo muhitaji au anaeweza kumsaidia naomba mtusaidie.
Kwa maelezo zaid
0659086861
Ahsanten wakuu
 
Elimu yake?? Uaminifu vipi??
 
32da27fea17a99af10a0928b887934ba.jpg

Mkuu hakiki tena jinsia yake na umri. True caller wananiambia huyu binti 22 ni "muft"
 
Asante kwa mrejesho. Pia Samahan sana nlipotea hewani kutokana na sababu za hapa na pale, ila bado anaitaji kibarua huyo dada yangu.
Elimu yake ni form 2 ameishia hapo. Uaminifu upo pia sehemu ya mkataba atakuwep mtu WA kusimamia kama mdhamin wake.
 
Kama ana mdhamini mwenye makazi maalumu tuwasiliane
Habari kka, Samahan nlipotea hewani kutokana na sababu za hapa na pale, bado anahitaji kibarua huyo dada yangu, kuhusu mdhamin yupo naweza kukukutanisha nae, kama unaitaji bado naomba mrejesho wako kwa mara nyingine.
Asante sana
 
32da27fea17a99af10a0928b887934ba.jpg

Mkuu hakiki tena jinsia yake na umri. True caller wananiambia huyu binti 22 ni "muft"
Asante kwa mrejesho, hiyo namb nloandika hapo ni ya kwangu mim, mwanzon nlieka yake ila kutokana na changamoto imebidi niweke ya kwangu, maana wapo wenye kulichukulia tatizo LA wenzao in positive Way, lakn wengine tofauti. Bado anahitaji kibarua, kama bado upo na mahitaji ya huyo mtu naomba majibu yako ndugu.
 
Habari ya saa hizi wana Jukwaa,

Nimerud tena kwenu kwa mara nyingine tena, Kuna ndugu yangu wa kike anaomba msaada kwenu nae apate sehemu Ili aweze kujikimu mahitaj yake, kama Kuna mtu Ana duka anajiamin kwa kazi kam hiyo pia kutokana na elimu yake. Umri ni miaka 22. Ambaye atakuwa anahitaji au anafahamu njia ya kumpa muongozo akafanikisha lengo lake naomba ani Pm au ntafute kwa namba 0659086861 hii hapa.

Ahsanten sana.
 
labda ili kutupa mwanga na kuona kama kuna haja ya kutafutana, ungetueleza tu kwa kifupi, kiwango chake cha elimu, taaluma aliyonayo, marital status(kaolewa au la), makazi(wilaya/mkoa),
 
Elimu kidato cha 2,
hajaolewa bado
 
labda ili kutupa mwanga na kuona kama kuna haja ya kutafutana, ungetueleza tu kwa kifupi, kiwango chake cha elimu, taaluma aliyonayo, marital status(kaolewa au la), makazi(wilaya/mkoa),
Kidato cha 2,
Single
Yupo temeke dar es salaam
 
Back
Top Bottom