Msaada anaejua majenerator na wachimbaji visima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada anaejua majenerator na wachimbaji visima

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ALF, May 7, 2012.

 1. ALF

  ALF Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wana jamii, nina kashamba kangu maeneo ya rufiji lakini kuna shida sana ya maji hivyo kulima bustani na ufugaji imekuwa ngumu, nilifanya utafiti wa ili nichimbe kisima ikaonekana maji yanaweza kupatikana mita 100 kwenda chini, lakwanza ningeomba mtu yoyote anayefahamu makampuni yanayochimba visima kwa gharama nafuu lakini kazi ya uhakika.

  Swala la pili ningeomba mwenye kufahamu sehemu nitakapoweza kupata generator za kv 6 mpaka 10 mpya na zilizotumika kwa bei nafuu.

  Tatu ningeomba kufahamishwa kati ya simtank, polytank na kiboko lipi bora zaidi, na wapi nitawaza kupata rank la lit 3000 na 5000 kwa bei poa?..

  Naombeni msaada wenu.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa uimara ni simtank, likifuatiwa na kiboko.......

   
 3. ALF

  ALF Senior Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Asante ndugu,
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ... nakushauri ujenge elevated concrete water tank (storage/reservoir tank) .... hii itakusaidia kujaza maji bila kutumia pump na maji yatatiririka kwenye bomba bila kutumia pump .... pia hili ni durable kuliko polytank kama simtank ... na pia haliwezi kuibiwa
   
 5. ALF

  ALF Senior Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Asante kwa ushauri wako, je unaweza kuwafahamu watu ambao wataweza kunijengea hilo tank?.
   
 6. p

  popobaawa Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  u can visit me physically for a free consultation.... we are available at Nkrumah street, next to Total Petroleum HQ. Company name SNTECH
   
 7. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Popobaawa! Dah

  Back to the main topic, Sim tank imetulia zaidi lkn bei yake pia iko juu ukilinganisha na nyingine
   
 8. ALF

  ALF Senior Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Okay nitakutafuta wiki hii, mida ya mchana, but sidhani kama nikifika hapo nikiuliza jina la popobawa utapatikana, je unaweza kunipa mawasiliano yako?.
   
 9. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Heheheheheh.....!
   
 10. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kuhusu wachimbaji na gharama(baada ya ku servey) ni pm tuwasiliane
   
 11. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Kwa Jenereta waone Plustronic nafikiri wana website, ebu wa google. Wana Generators za uhakika
   
 12. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  LAT hiyo elevated concrete storage inaingizaje maji bila kutumia pump? Shule plse.
   
 13. ALF

  ALF Senior Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Nashukuru kwa msaada wenu na bado nahitaji msaada wenu wa mawazo, Nimeangalia kampuni ya plustronic lakini sijaona generator ndogo za KV 6 naona zimeanzia zaidi ya KV 10 na kuendelea je kuna kampuni nyingine? Na vipi generator za kampuni ya boss?.
   
 14. p

  popobaawa Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ALF..... Ask for Eng. Mohammed, cellphone 0773889888
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. ALF

  ALF Senior Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  asante.
   
Loading...