Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,865
- 3,800
Wakuu habari ya Jumapili,miaka 7 iliyopita nilinunua miti aina ya Pine heka 4 Wilaya ya Mufindi. Kwasasa miti ina miaka 13. Wazoefu wameniambia tayari imekomaa na naweza kuivuna. Mi niko mbali na sjui bei ya sasa ni Sh.ngapi kwa heka.
Naomba mtu ambae ni mzoefu wa biashara ya mbao anisaidie ili wajanja wasinipige.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mtu ambae ni mzoefu wa biashara ya mbao anisaidie ili wajanja wasinipige.
Sent using Jamii Forums mobile app