Msaada anaejua application ya kurudisha picha

mbotoro kivoi

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
686
953
Maelezo kamanlivo toa apo juu mwenye kujua aplication itakayo nsaidia kurudisha picha coz kuna m2 nlimuachia cm akazifuta
 
Au njia y kuamnika sign in kweny googlephoto the backup apo utazkuta mpk picha zako za kwanza uliponunua simu sema uwe na bando la kutosha maan utafukunyuliwa albamu ambazo hukiztarajia
 
Au njia y kuamnika sign in kweny googlephoto the backup apo utazkuta mpk picha zako za kwanza uliponunua simu sema uwe na bando la kutosha maan utafukunyuliwa albamu ambazo hukiztarajia

Hiyo mpaka kama uliipa access ifanye auto sync yenyewe na camera lasivyo hukuti kitu mkuu
Ila nenda google au playstore tafuta app inaitwa diskdigger pro then hapo utazikuta zote na kam ume root ndo itakuwa vizuri zaidi
 
Download diskdigger kwenye play store hata kama zilifutika Miezi 6 iliyo pita Zita backup
 
Back
Top Bottom