Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,405
- 6,281
Hello JF, nina mdogo wangu mwenye umri 20+ anasumbuliwa na depression & suicidal thoughts karibu mwaka sasa. Tulimpeleka kwa therapist, anafanyiwa therapy lakini pia aliandikiwa dawa aina ya Amytripilineam awe anakunywa mara moja kwa siku (usiku).
Lakini sasa naona kama hali yake inazidi kuwa mbaya, anakuwa very emotional kitu kidogo kinamliza sana plus suicidal thoughts zimeongezeka, kuna siku alibugia vidonge 20 vya Amytripilineam tukampeleka hospitali. Ukimuuliza kwanini anameza zote anajibu eti amechoka anataka kulala.
Je inawezekana hizi dawa hazimsaidii au ndo zina side effects? Je kuna dawa mbadala na hizi?
Naombeni msaada wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app