Msaada, amejifungua lakini maziwa hayatoki

Huwa naona hukamuliwa kwa nguvu na kama kuyakanda kuzibua yatoke


Hivi ni maziwa hayatoki au maziwa hayazalishwi??!!

Mimi nimeshuhudia baadhi ya akina mama maziwa huwa hayatoki kabisa kwa maana kwamba hayazalishwi au yanatoka kidogo sana kifupi hayo ndio maumbile yao, hao siku zote matiti yao huwa saa 6.🤣 kuna wengine huzalisha maziwa mengi hadi yanatoka yenyewe na yanalowesha sidilia chepechepe anapochelewa kumnyonyesha mtoto, hayo yote ni maumbile.

Kenya kuna biashara ya maziwa ya binadamu ili kukabiliana na shida kama hiyo ya ndugu yetu, nadhani ni muda muafaka biashara hii ianze Tz kwani ni akina mama wengi tu wenye shida kama hiyo.
 
Back
Top Bottom