Msaada aliyewahi kunufaika na mkopo TSSF anisaidie

Kama ilivyo tofauti ya ada kati ya vyuo vya public na vya private basi na hapo ndo ivyo ivyo
 
ukikosa mkopo heslb usihangaike kuzunguka hapa Dar kumejaa utapeli wa hali ya juu
 
Waziri wa Elimu Mh. Ndalichako amewakana na kutahadharisha watakaotuma maombi huko serikali hatahusika na hawaitambui hiyo taasisi.
 
Me nimekopa tssf na nimekubaliwa kusajiliwa chuo na nishasajiliwa na hizi elimu zetu za afya ada mamilion mengi huko jaribu elfu salasini kuipoteza kwa kupata zaidi sio kesi af kutotanbuliwa na ndalichako kwan benki zinazokopesha zote hua zinamfata azitambue???
 
Waziri wa Elimu Mh. Ndalichako amewakana na kutahadharisha watakaotuma maombi huko serikali hatahusika na hawaitambui hiyo taasisi.
NDALICHAKO ndo anaetoa legal status ya trustees?
Acheni kushula,mnafeli sasa.
 
Mimi chuoni leo hii peupe wamenisajili kiroho safi,wenye Utomaso subirini A/C zetu zisome mtajua.
 
Me nimekopa tssf na nimekubaliwa kusajiliwa chuo na nishasajiliwa na hizi elimu zetu za afya ada mamilion mengi huko jaribu elfu salasini kuipoteza kwa kupata zaidi sio kesi af kutotanbuliwa na ndalichako kwan benki zinazokopesha zote hua zinamfata azitambue???
Bet.
 
NDALICHAKO ndo anaetoa legal status ya trustees?
Acheni kushula,mnafeli sasa.
Mimi nimesikia kwenye taarifa habari sasa povu la nini, sana sana unaweza kujitoa muhanga 30,000/=ukipata ok ukikosa unaugulia kimyakimya, hata sasa hivi japo heslb ipo kisheria kuna waliokosa na wanaugulia hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom