Msaada: Aliolewa na Mwanaume mwingine na sasa ananisumbua turudiane akidai alishinikizwa. Nifanye nini?

kijana sitaki nikuchoshe sana uyo ni mke wa mtu achana nae, mana wale washaoana kama uyo mdemu ana nia ya kuachana na mme wake sawa hili mrudiane aina shida but kama anataka mrudiane hili muendelee kutinduana its ok
 
Vitoto vya siki hizi miaka 14 tu vishaumizwa na mapenzi wakati henzi zetu tulikua tunaumizwa na moshi wa kibatari.

Maisha bwana!
 
DoGo piga shule, achana na mapenzi.. hasa mke wa mtu

Utanishukuru baadae..
 
Back
Top Bottom