MSAADA AJIRA PORTAL

Wakuu mm ndio kwanza naanza kujiunga kwenye hiyo ajira portal. Nimeweka email pale na pasword nikabonyeza 'register' naambiwa ntatumiwa email ila tatizo sasa mpk ss email siioni, kifupi haijatumwa asa sijui tatizo ni nini. Kuna ambaye amewahi kuexperience tatizo kama hili
Jaribu kutengeneza email nyingine alafu nenda kafanye registration upya na hiyo email nyingine utapokea ujumbe wa kuconfirm account yako ndani ya dakika 1 tu mkuu..
 
Jaribu kujaza kila eneo bila kuacha chochote itajaa tu vizuri.. Hata picha ikibidi uweke.. Mimi kwangu ilijaa faster tu hadi 79% siku hio hio najazs
yaas ukijaza Kila kitu kwa usahihi inajaa haraka na Wala haichukui muda
 
Me bado jamanie iko 68% cjui nakosea wapi nimejaza karibia kote kasoro kwenye professional qualifications kama sijakosea apo Amna ata kinachoendana na Mimi naona ma CPA zile elimu za juu nadhani ndo maana nimepaacha..naomba nielewesheni
Nilifanikiwa Chief...
Nilirudia rudia kujaza mpaka nikashtukia imepanda hadi asilimia 84..!
 
Me bado jamanie iko 68% cjui nakosea wapi nimejaza karibia kote kasoro kwenye professional qualifications kama sijakosea apo Amna ata kinachoendana na Mimi naona ma CPA zile elimu za juu nadhani ndo maana nimepaacha..naomba nielewesheni
Unatumia simu au PC..?
 
Unatumia simu au PC..?
Kutumia SIMU au PC sio kigezo cha kutopanda ila tu wenda kuna pahala anakosea mimi sijawahi kaa kwenye PC kutuma hayo maombi mostly natumia sana simu kwenye kila kitu kasoro ku print tu hapo nakuwaga sina namna lazima printer ihusike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom