Msaada ajira portal kwangu haijawai kukubali application nini nifanye?

lucky_boy

Member
Aug 9, 2017
97
214
Habari waungwana naimani wengi tunafaham website ya ajira za serikali ajira portal recruitment sasa mimi nimesajili account yangu ila kila nikijaribu kuapply inaniandikia FAILED kama kwenye hii picha tafadhali mwenye utatuzi wa hili anijuze. KARIBUNI

Screenshot_20211018-184436.jpg
 
Mbona hapo inajieleza mkuu? Au shida ni lugha?

Kwenye kila post huwa wanasema wanataka watu wa fani zipi na viwango vyao vya elimu.

Kama upo nje ya hapo whether umezidi au kupungua qualifications hauwezi kuqualify.
Hivyo nenda kaedit tena kwenye education background. Weka vigezo husika kwà matakwa husika.

Ajira portal haitaki "uhaya"
 
Mbona hapo inajieleza mkuu? Au shida ni lugha?

Kwenye kila post huwa wanasema wanataka watu wa fani zipi na viwango vyao vya elimu...
Iyo inatokea ata kwa issue ambayo nimequalify kabisa ndo maana nauliza shida nini na kama kuna mtu amewai kupatwa na hii issue alirekebisha nini ili nijaribu pia
 
Rudi kweny ukurasa edit education background na uchague qualifications zako za uombaji, system inakutema kwa kuwa umeichanganya haikuelewi.
 
Mkuu kama kigezo kwenye ajira ni mtu uwe na labda diploma kama kwenye profile yako ume list una degree haiwezi kukubali.
 
Asanteni nimepata pa kuanzia
Sometimes unakuta una degree ambayo ndio highest qualification yako, na diploma kama lowest qualification. Sasa kama kazi inahitaji qualification ya diploma ukiomba itakugomea, nadhani ni utaratibu wa ajira za utumishi tu...Wewe apply kazi ambayo inaendana na highest qualification yako.
 
Pamoja mkuu

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mbona hapo inajieleza mkuu? Au shida ni lugha?

Kwenye kila post huwa wanasema wanataka watu wa fani zipi na viwango vyao vya elimu.

Kama upo nje ya hapo whether umezidi au kupungua qualifications hauwezi kuqualify.
Hivyo nenda kaedit tena kwenye education background. Weka vigezo husika kwà matakwa husika.

Ajira portal haitaki "uhaya"
Duh! Uhaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom