Habari zenu wadau.

Kuna tatizo limeikuta akaunti yangu, kila ninapoapply ninapata automated answer ambayo inanionyesha siendani na academic qualification za hiyo ajira.

Ila tatizo ni kwamba niliwahi apply kwa post kama hiyo na nikaitwa hata kwenye interview ila katika post hii ndiyo napata hilo jibu.

Post ninayojaribu kuiomba ipo kwenye category ya Sociology, Political Science and Community Development. Nimehuisha taarifa via National Identification Number nimeweka kozi yangu katika category husika lakini bado napata hiyo feedback.

Nimejaribu kuwapigia kwa namba zao za help desk na malalamiko ila hazipatikani tangu Ijumaa, na nipo mbali na mkoa wa Dar so nashindwa kwenda ofisini kwao. Last resort nimeamua kuja kuomba msaada humu kwa yeyote anayeweza kunisaidia.

Natanguliza shukrani.

Sijawahi kuaccess hiyo portal ila kwa maelezo uliyotoa na kwa kuzingatia jinsi automated web based application zinavyokuwa coded, inawezekana moja kati ya haya ni sahihi;

1. System imekuwa instructed kureject yeyote aliyewahi kuomba previously on the same field na kufikia level flan ya mchakato (hapa nita assume level ya kuitwa kwenye interview) kutokana na maelezo yako hapo juu.

2. Inawezekana nafasi iko ristricted kwa watu wa kozi fulani kutoka vyuo fulani tu lakini haijawekwa wazi, mfano kuna baadhi ya matangazo wanaweza kutoa umuhimu kwa watu waliosoma kozi husika lakini kutoka vyuo fulani kulingana na units flan flan zilizo kwenye mtaala wa vyuo hivyo.

3. Network problems ambazo mara nyingi hutokana na data traffics kuuelemea mfumo husika.

4. Uzembe ama kutokuwa na uelewa wa kutosha kwa aliyekuwa anacode "error messages" hivyo kufanya system itoe the same error message kwa different problems, mfano chukulia unatuma hela kwa mobile then ukiwa huna salio la kutosha, umekosea namba, umekosea PIN nk inakupa error message moja hivyo inakufanya ushindwe kubaini tatizo husika.
 
Jibu lipo namba 2 hapo.
 
Wakuu nimejisajili Ajira Portal Ila hadi sasa sijapokea email ya link ya ku-activate account yangu.

Msaada please kwa anayejua huenda tatizo litakuwa nini.

Yangu nisajili siku ya jumamosi leo ni siku ya tatu nimeona kimya.

Namba zao nikipiga hazipatikani.
 
Angalia kwny spam utaikuta kama haipo ingia kwny search box ukiwa kwny email yako search "ajira poratal" utaipata tu
 
Habarini,

Naomba msaada namna ya kuomba nafasi ya kazi kwenye ajiraportal kila nikiomba napata notification hii hapa.

Screenshot_20210201-120449.jpg
 
Kama kazi ni ya diploma hakikisha umeweka diploma kwenye Qulification zako na kama ni degree halikadhalika

Huwezi kuwa na qualification za degree ukaomba kazi ya certificate
 
Issue hapo ni qualification, kwa mfano unaomba nafasi ya kazi ya udaktari wakati kwenye qualification umejaza wewe ni umesomea uhasibu hapo system moja kwa moja inakataa.
Hii changamoto hata mm inanikuta, inaandika hivi hivi sijajua shida nn
 
Wakuu na mm nina shida hii, kila nikitaka kuomba kazi hii error ya kwamba sija update namba ya nida inakuja wakat niliweka namb ya nida na ikasema updated successfully, na nimeludia Zaid ya mara tano au profile lazim iwe complete 100% ndo nilihusiwe kuomba?​

Screenshot_20210205-164342_Chrome.jpg
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom