Msaada, Airtel!

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,217
6,349
Jamani kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema. Nimefika hapa Marekani toka jana ila nashindwa kupiga simu Tanzania kwa mke wangu kupitia Airtel. Simu yangu (Airtel) ina bando na pia ina hela zaidi ya laki 5, nimenunua kifurushi cha kimataifa (cha kupiga Marekani na Canada) lakini wapi. Naomba msaada wenu, nafanyaje kupiga simu Tanzania kwa kutumia mtandao wa Airtel toka hapa Marekani?
 
Airtel haipo Marekani na wala haina “roaming agreements with any carrier” huko
 
Back
Top Bottom