Msaada adsense on youtube

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
571
500
Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect AdSense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
 

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
571
500
Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect Adsense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,563
2,000
Hauhitji hayo ukitimiza vigezo vyao unaweza omba kuwekewa matangazo.
 

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,694
2,000
Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect AdSense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
Hauhitajiki kuwa na website wala blog.
Ukifikisha vigezo utakuwa na uwezo wa kuunganishwa na Google AdSense
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom