msaada adobe photoshop

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
wadau naomba nisaidiwe link nidownload adobe photoshop nipo kijijini mbali, nimeacha mjini softwere zangu. asanteni wadau.
 
Google ni rafiki yako mkubwa. Jaribu kutafuta na utapata bila noma!
 
Mfereji maringo Manyara ipi mi mwenyewe nipo manyara lakini J ntakuwa A-town. ni-PM namba yako!!
 
Back
Top Bottom