Msaada abiria anayetokea Mwanza kuja Dar kwa Ndege usiku huu

Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
882
1,029
Habar za muda huu

Kama kichwa cha Habar kinavyojieleza nimekwama kusafirisha mzigo wangu kutoka Mwanza kuja Dar es salaam ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba abiria yoyote anayetokea Mwanza kuja Dar es salaam kwa ndege kunisadia mzigo huo ili ufike leo Dar es salaam

Mawasiliano 0786809720

Nawashukuru nimefanikiwa kusafirisha samaki wangu
 
Abiria watapita kukupa msaada.
Ila nakushauri utumie njia za kisasa kusafirisha mizigo, hii njia ilitumika kipindi cha ujamaa ambapo ilikuwa rahisi kumwamini mtu hata kama hujui.
 
Binadamu Sasa ivi hatuaminiani.... Mwingine ataogopa isije ikawa Ni magendo...
Mungu akusaidie umpate uyo msafiri wa kwenda huko
 
Habar za muda huu

Kama kichwa cha Habar kinavyojieleza nimekwama kusafirisha mzigo wangu kutoka Mwanza kuja Dar es salaam ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba abiria yoyote anayetokea Mwanza kuja Dar es salaam kwa ndege kunisadia mzigo huo ili ufike leo Dar es salaam

Mawasiliano 0736289740
Kete au? Usithubutu kubeba mzigo wa mtu.
Samahani mleta uzi.
 
Habar za muda huu

Kama kichwa cha Habar kinavyojieleza nimekwama kusafirisha mzigo wangu kutoka Mwanza kuja Dar es salaam ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba abiria yoyote anayetokea Mwanza kuja Dar es salaam kwa ndege kunisadia mzigo huo ili ufike leo Dar es salaam

Mawasiliano 0736289740

Ni ngumu sana kuaminika kwamba mzigo hauna shida
 
Binadamu Sasa ivi hatuaminiani.... Mwingine ataogopa isije ikawa Ni magendo...
Mungu akusaidie umpate uyo msafiri wa kwenda huko

Ungekuwa magendo usingetangazwa hivi.....mambo yangeenda kimya kimya hawo ni samaki wa Mwanza
 
Samaki wanapasuliwa Ngada inawekwa ndani, siwezi kusafiri kwa mashaka kisa kubeba mzigo wa mtu sometime wema huponza.
 
Back
Top Bottom