MSAAD MWENYE CD YAKE ANIPATIE-The Expendables/Rambo

Wewe hata Filamu haijatoka kwenye majumba ya kuonyeshea unataka CD!? Subiri at least two months utapata DVD na Blu-ray Disc.
 
August 19 tutaanza kuiangalia sisi huku.
Kisha baada ya hapo ally Baba atawaletea copy ile yenye Giza kisha baada ya Muda mtaipata ilo safi
 
Wewe hata Filamu haijatoka kwenye majumba ya kuonyeshea unataka CD!? Subiri at least two months utapata DVD na Blu-ray Disc.

Aksante paster,Nilidhani imeshatoka huko majuu.Tz mpaka ifike mwaka ujao,poa tutasubiri tuu ndio kazi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom