toghocho
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 1,172
- 198
Heshima mbele wakuu, kwa siku kama 4 sasa, nimekuwa nasumbuliwa na Tatizo hili la macho,
ni kwamba, Mie (au niseme macho yangu) huwa ni maoga sana kwenye mwanga mkali na hasahasa wa JUa la hapa dar.
sasa macho yangu ghafla yamedevelop kitu kama kagiza flani, ambapo kumuona mtu waweza muona but humtambui sura mpaka karibu kabisa, simu ndio hata text kusomna ni issue, computer ndo naaandika huku naangalia keybord, maana hata kusoima haya nnayoyaandioka ni mpaka kama nachungulia, uso karibu kabisa na screeen na bado sioni clearly...ukweli tatizo hili limenianza ghafla , na linanitesa sana..especially kwenye kutembea mchana, kufanya kazi kwenye computer na matumizi ya simu yangu..
ni kama kagiza flani kametanda machoni kwa hiyo nnaona kama kagiza..ile clearness ya picha hakuna especially niki-focus, kanakinga image siioni vizuri, then kwenye kusoma ndo kabisaaaaaaa, msaada wakuu...